GHARAMA ZA KUNUNUA NYUMBA ZA NHC KITENDAWILI!!!...
Posted on
Nov 21, 2012
|
No Comments
Hivi Mwalimu angekuwa
na mtizamo huu, 'mswahili' gani angemudu nyumba ya NHC. Hii miradi ya nyumba za
NHC imelenga kuwafaidisha akina nani? Maana haiingii akilini kuwa mwananchi wa
kawaida anaweza kumudu kununua apartment ya shs mil 320.
http://www.nhctz.com/mindu/RELEASE_Swa.pdf
Miradi zaidi ingia humu
Welcome to NHC: "Your Partner in Real Estate Development and Management"
http://www.nhctz.com/mindu/RELEASE_Swa.pdf
Miradi zaidi ingia humu
Welcome to NHC: "Your Partner in Real Estate Development and Management"