photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > IKULU:RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WA IRAN NA CANADA, AONANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS ALI BONGO WA GABON

IKULU:RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WA IRAN NA CANADA, AONANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS ALI BONGO WA GABON

Posted on Nov 21, 2012 | No Comments

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Canada nchini Mhe Alexandre Leveque baada ya kupokea hati zake za utambulisho leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na  Balozi wa Iran nchini Mhe Mehdi Agha Jafari baada ya kupokea hati zake za utambulisho leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Canada nchini Mhe Alexandre Leveque leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Iran nchini Mhe Mehdi Agha Jafari leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalumu toka kwa Rais Ali Bongo wa Gabon uliowasilishwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko Maalumu  wa Uwekezaji wa nchi hiyo Bw. Serge Mickoto  leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na  Balozi wa Iran nchini Mhe Mehdi Agha Jafari baada ya kupokea hati zake za utambulisho leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipitia ujumbe maalumu toka kwa Rais Ali Bongo wa Gabon leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam uliowasilishwa  na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko Maalumu  wa Uwekezaji wa nchi hiyo Bw. Serge Mickoto   leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.Picha na IKULU

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru