Msimu wa mvua unapokaribia
kuisha, mlipuko mbaya zaidi wa ugonjwa wa Kipindupindu nchini Siera
Leone kwa miaka 15 umeanza kupungua. Mlipuko huo umeonyesha wazi
mazingira wanamoishi watu katika mitaa duni mjini Freetown,ambako ndio
kitovu cha ugonjwa huo