RAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA SIKU NNE WA MAJAJI
Posted on
Nov 16, 2012
|
No Comments



Rais Jakaya Kikwete akikufunga mkutano wa siku nne wa
Majaji uliofanyika katika hoteli ya Snow Crest jijini Arusha leo Novemba
16, 2012.Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Nhe. Magesa Mulongo Jaji Mkuu Mhe. Mohamed Chande Othman, Waziri wa Sheria Mhe Mathias Chikawe, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na Jaji Kiongozi Mhe Fakih Jundu

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala ya Waheshimiwa majaji
toka kwa muwakilishi wao, Jaji Dkt Fauz Twalib, wakati wa kufunga
mkutano wa siku nne wa Majaji uliofanyika katika hoteli ya Snow Crest
jijini Arusha leo Novemba 16, 2012

Waheshimiwa majaji wakimshangilia Rais Jakaya Mrisho Kikwete
(hayupo pichani) wakati wa kufunga mkutano wa siku nne wa Majaji
uliofanyika katika hoteli ya Snow Crest jijini Arusha leo Novemba 16,
2012.Picha na IKULU