photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > VODACOM YACHANGIA SHILINGI BILLIONI NANE HOSPITALI YA CCBRT

VODACOM YACHANGIA SHILINGI BILLIONI NANE HOSPITALI YA CCBRT

Posted on Nov 21, 2012 | No Comments

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikweteakionesha cheki ya Shilingi bilioni Nane iliyotolewa na Kampuni ya VODACOM kwa ajili ya ujenzi wa hospitali maalumu itakayo shughulika kutibu wanawake walioathirika na Ugonjwa wa Fistula pamoja na ulemavu mwingine.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha, Mhe.Janet Mbene,Mkurugenzi Mtendaji VODACOM Tanzania Bwana Rene Meza,Ofisa mtendaji Mkuu Hospitali ya CCBRT Bwana Telemans  Erwin na kulia ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said Meck Sadik

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru