YANGA 1-0 TOTO AFRICANS
Posted on
Mar 9, 2013
|
No Comments

Yanga imezidi kujichimbia kileleni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuibuka na ushindi wa bao moja kwa bila dhidi ya Toto africans ya Mwanza. Bao pekee la Yanga limefungwa na Nizar Khalifan katika dakika ya 79. Katika matokeo mengine Azam imetoshana nguvu na Polisi Morogoro kwa sare ya 1-1