SIMBA SC VS PORTS YA DIJBOUT MATUKIO KATIKA PICHA..
Posted on
Jul 18, 2012
|
No Comments
Mpira Uwanja wa Taifa ni mapumziko na hadi sasa mabingwa wa Tanzania Simba Sports Club hawajafungana na Ports ya Djibouti
Dakika ya 60: Goal: Abdallah Juma anaipatia Simba bado la kwanza.
Dakika ya 64: Goal: Felix Sunzu anafunga penati baada ya Mwinyi Kazimoto kufanyiwa madhambi. Simba 2-0 Ports.
Dakika ya 60: Goal: Abdallah Juma anaipatia Simba bado la kwanza.
Dakika ya 64: Goal: Felix Sunzu anafunga penati baada ya Mwinyi Kazimoto kufanyiwa madhambi. Simba 2-0 Ports.
Hatimaye mnyama ameunguruma uwanja wa Taifa na kutinga robo fainali. Simba wameifunga Ports ya Djibouti mabao matatu kwa bila huku Abdallah Juma (Pichani) akiibuka shujaa wa mchezo. Hongera sana Wana-Msimbazi