photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > NDEGE YA ATCL YAPASUKA KIOO ANGANI; YAZUIWA KURUKA KIA

NDEGE YA ATCL YAPASUKA KIOO ANGANI; YAZUIWA KURUKA KIA

Posted on Jul 18, 2012 | No Comments



Habari za uhakika zinadai kuwa ndege ya ATCL namba TC 100 ambayo ilikuwa imeondoka Dar mapema asubuhi ya leo (July 18) kuelekea Mwanza ikipitia KIA imepasuka kioo.
Taarifa zimedai kuwa kioo hicho kilipasuka wakati ndege hiyo ikijiandaa kwenda Mwanza baada ya kuwa imeshatua KIA.
Kioo kilichopasuka ni kile cha pembeni kwa rubani upande wa kushoto kwa mujibu wa vyanzo.
Kutokana na tukio hilo ndege hiyo ilizuiwa kuruka hadi pale marekebisho ya kioo hicho yangefanyika.
Haijajulikana iwapo imesharuhusiwa ama bado.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru