MATOKEA YA FORM FOUR MWAKA 2012 HAYA HAPA>>
Posted on
Feb 18, 2013
|
5
Comments
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIES
Tafadhali jaribu kwa kubofya hapa au hapa
Tovuti ya tatu inayopatikana kwa kubofya hapa, kwa sasa inaonekana kuwa (down) imezidiwa.
CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIES
Tafadhali jaribu kwa kubofya hapa au hapa
Tovuti ya tatu inayopatikana kwa kubofya hapa, kwa sasa inaonekana kuwa (down) imezidiwa.
ILANI: Nawafahamisha nyote msiofahamu kuwa, matokeo yote yapo kwenye tovuti ya NECTA (www.necta.go.tz). wavuti.com hai-host wala haihusiki na kushindwa kufungua linki zilizotajwa hapo juu kwa na matatizo ya server za NECTA kuishiwa bandwidth kwa kuelemewa na wingi wa watembeleaji/requests wanaotaka kutizama matokeo hayo!
Leo, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa (Mb) ametangaza rasmi matokeo ya Mitihani ya Kitaifa ya ya Kidato cha Nne, Maarifa na QT.
Waziri amesema jumla ya watahiniwa waliofaulu ni 23,520 hali waliofeli ni 24,903.
Shule bora kwa ufaulu zimetajwa kuwa ni pamoja na St. Francis Girls ya Mbeya, Marian Boys ya Bagamoyo, Feza Boys ya Dar es Salaam, Marian Girls ya Bagamoyo na Simini. Nyingine ni Kanosa, St. Jude na St. Mary.
Taarifa zaidi zitawekwa hapa (update) kadiri zitakavyopatikana.
selikali hii ni ya kidwanzi balaa kama matokeo yapo tayarsi watangaze tu mbona wanaacha watoto wakae na presure
ReplyDeletefredrick msuya. mpaka sasa sijajua ni serikari ya namna gani isiyo na aibu ya utendaji wake wa kazi? kumbe watoto walifaulu wakafelishwa au wamebadili matokeo? hv hata nchi za wenzwtu wakijua ni aibu. inachoshwa kwa kweli
ReplyDeletekila mwaka wanafunzi wanarisiti mitiani lakini chakushangaza mwaka huu baraza la mitihani limerisiti.ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
ReplyDeletehuku ni kucheza na maisha ya watu serious serikali muangalie hili.kwasababu kuna watu walifaulu matokeo ya mwanzo na haya ya pili wamefeli wats is it>???????????
NOMA
ReplyDeletekwan ccm ndio baraza la mitihani
ReplyDelete