photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > ADELE MJAMZITO, ANATARAJIA KUPATA MTOTO NA SIMON KONECKI!.

ADELE MJAMZITO, ANATARAJIA KUPATA MTOTO NA SIMON KONECKI!.

Posted on Jun 30, 2012 | No Comments


Huenda nyimbo za Adele zikaendelea kuwa za furaha zaidi kwakuwa ni sasa mjamzito.

Wakati ambapo leo (June 29) Tom Cruise na Katie Holmes wamesema watapeana taraka, Adele ana habari njema zaidi kwa mashabiki wake.

"Ninayo furaha kutangaza kuwa Simon na mimi tunategemea mtoto wetu wa kwanza,” aliandika kwenye website yake. "Nataka mzisikie habari hizo moja kwa moja kutoka kwangu.”

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru