photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > NDOA NDOANO..

NDOA NDOANO..

Posted on Jun 30, 2012 | No Comments

HUYU NDIYE ANAAMINIKA KUWA MKE MTARAJIWA WA BOB JUNIOUR


Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya Rais wa lebo ya Sharobaro Records ya jijini Dar es Salaam, Raheem Nanji ‘Bob Junior’ kufunga pingu za maisha..
EXCLUSIVE ya bongokwetu ilinyaka picha kwenye mtandao mmoja TZ za  mtu ambae anatarajia kua mke halali wa bob junior SHAROBARO...
mtandao huo umeandika kua ni HALIMA ALLY ambae ni mcheza filam amecheza filam kadhaa hapa TZ kama Laptop. Diplomatic, Hard Time, Tell the truth na nyenginezo..
Pia HALIMA alishawahi kununukulia na mtandao mwengne kua kwa sasa ana mtu na hataki kusumbuliwa lkn kwa kipindi hicho hakuwahi kumtaja... 
 
source: ujanatz blog.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru