photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> Askari 746 wa Jeshi la Magereza wahitimu mafunzo ya uongozi daraja la kwanza Kiwira Mbeya

Askari 746 wa Jeshi la Magereza wahitimu mafunzo ya uongozi daraja la kwanza Kiwira Mbeya

Posted on Jun 5, 2012 | No Comments

Kamishina Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania Augustino Nanyaro akiangalia gwalide la wahitimu hao wa mafunzo ya uongozi
Kikosi cha Bendera kikipita mbele ya Kamishna wa magereza
Wakipita kwa ukakamafu mbele ya kamishana wa magereza
Kikosi cha kareti kikionyesha umahili wake mbele ya kamishna wa magereza
Kamishina akikagua gwaride la wahitimu wa kozi ya uongozi
Wahitimu wa kozi ya uongozi wakimunyesha kamishna wao juu ya kucheza ngoma ya muganda

Askari 746 wa Jeshi la Magereza nchini wamehitimu mafunzo ya uongozi daraja la kwanza (NCO`S) kozi namba 19 katika chuo cha Kiwira- Rungwe mkoani Mbeya

ambapo kamishina Jenerali wa jeshi la magereza Tanzania Augustino Nanyaro aliwatunuku vyeo koplo baadhi na masajenti..

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru