photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > Bajeti ya serikali 2012/2013..

Bajeti ya serikali 2012/2013..

Posted on Jun 14, 2012 | No Comments

Bajeti ya serikali 2012/2013 haikugusa mahitaji halisi ya wananchi-Mh. Freeman Mbowe

Mwenyekiti wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mh. Freeman Mbowe ameeleza kushtushwa na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013 kwa kutogusa mahitaji halisi ya wananchi. Ameeleza tatizo kubwa la sasa nchini ni mfumuko mkubwa wa bei ambao waziri wa fedha hakuonyesha ni kwa jinsi gani wanaweza kusimamia suala hili kwa ufanisi zaidi ya kueleza matatizo haya kwa ujumla.

Alikuwa ukitoa maoni yake toka Dodoma kuhusu bajeti ya serikali 2012/2013 kupitia idhaa ya
kiswahili ya BBC.
 Bajeti Imewasilishwa Anayetaka namba maalum kwenye usajili wa Gari 5mill
Mh. Waziri wa fedha amemaliza kuwasilisha bajeti moja ya kitu kipya ni usajili wa magari kwa namba maalum (ie jina lako)unalipa mill 5, Great Thinkers nini mtazamo wako, je ni kuaisha wenye uwezo waonekane hata katika plate namba za magari yao au lengo ni kukuza mapato ya serikali bila kuangalia mitazamo ya kijamii.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru