NDOA NDOANO..
Posted on
Jun 14, 2012
|
No Comments
je hii ni kawaida?
poleni kwa mihangaiko ya cku nzima ya leo wanajamvi. nina dukuduku jamani. hv ni kawaida mwenzi wako kuconfirm mahali ulikokwenda mf. umekwenda kumtembelea mama/dada/ndugu/rafiki na umemuaga mwenzi wako then unapofika mwenzi anakupigia / anampigia mtu uliekwenda kwake ili kuconfirm km kwel umekwenda kwake. na kufuatilia mtakwenda wapi kwa style ya nipe niongee na flan ama mpe simu niongee nae? ama mie ndo sijielewi. Karibun kwa michango yenu. .
