BALOZI WA JAPANI NCHINI ATEMBELEA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA
Posted on
Jun 30, 2012
|
No Comments
| Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha, Dkt. Richard Masika(kulia) akisalimiana na Balozi wa Japan nchini, Mhe. Masaki Okada kabla ya Kutembelea maeneo mbalimbali ya Chuo |
| Balozi wa Japani nchini,Mhe. Masaki Okadaakiangalia mandhari ya chuo hicho wakati alipotembelea chuoni hapo |
| Balozi wa Japani nchini,Mhe. Masaki Okada akipokea Maelezo kuhusu Ujenzi wa Maabara ya upimaji maji na Udongo kutoka kwa Mkuu wa Chuo, Dkt. Ricahrd Masika |
| Balozi akiwa katika Karakana ya Mitambo |
