photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > REDD`S MISS IRINGA 2012 NAOMI JAMES..

REDD`S MISS IRINGA 2012 NAOMI JAMES..

Posted on Jun 30, 2012 | No Comments

Huyu ndie Naomi James ambaye ametawazwa usiku wa kuamkia leo kuwa Miss Redd's mkoa wa Iringa na kuzawadiwa kitita cha shilingi 500,000

Mshindi wa taji la Miss Redd's 2012 mkoa wa Iringa Naomi James kati kati akiwa na mshindi wa pili Sarah Utiku na Catherine Mfupi ambaye ni mshindi wa tatu mara baada ya kutangazwa usiku wa kuamkia leo ndani ya ukumbi wa Highlands mjini Iringa
Hawa ndio waliopenya nafasi ya tano bora kati ya washiriki 12 waliopanda jukwani wa kwanza kushoto ni Amisa Zuber, SArah Utiku, Naomi James ,Winfreda Felix na Catherine Mfupi

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru