photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> Big Brother Africa: Kibao kilichowagharimu DKB na Zainab

Big Brother Africa: Kibao kilichowagharimu DKB na Zainab

Posted on Jun 5, 2012 | No Comments


Jana DKB wa Ghana na Zainab wa Sierra Leone wameondolewa kwenye mashindano ya mwaka huu ya Big Brother Africa baada ya kuzuka ugomvi uliomfanya DKB amtandike Zainab kibao kikali.
Angalia jinsi ilivyokuwa.
 

Unadhani chance ya Prezzo kuzikamata $300,000 umeongezeka?

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru