photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> CHADEMA Waendelea Na Operesheni Okoa Kusini

CHADEMA Waendelea Na Operesheni Okoa Kusini

Posted on Jun 4, 2012 | No Comments

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa mji wa Newala mkoani Mtwara, katika mkutano wa hadhara, leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akiwauzia kadi wananchi waliojitokeza kujiunga na chama hicho, mara baada ya mkutano wake wa hadahara mjini Newala, mkoani Mtwara kwenye viwanja vya Mahakama.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akiagana na wananchi wa kijiji cha Nanguruwe baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru