CHEKECHA..
Posted on
Jun 12, 2012
|
No Comments
Ni nani msafi CCM?
Binafsi nimekuwa nikapata ugumu katika kujua ni nani msafi ndani ya CCM,maanake kila ninae jaribu kumuona ni msafi napata taarifa kuwa ni mbaya sana,mfano:Samwel Sitta,Mwakyembe,Magufuli,Nape, Wasira,...na wengine,ghafla naambiwa hao nao si wasafi tena ni wanafiki tu.Kazi kwelikweli,Naomba tupige kura hapa!
