>
KIBONZO CHA SIKU
>
KITUKO CHA SIKU.
KITUKO CHA SIKU.
Posted on
Jun 12, 2012
|
POLISI:WE dereva boya kweli ilikuwaje sasa ukagonga watu 26 kwa mpigo…yaani utaenda jela miaka ya shetani.
DEREVA:Hebu askari kabla hujanikamata nikuulize swali,kuna mtu mmoja kushoto na watu 25 kulia,we ungefanyaje ??
POLISI:Ningegonga mmoja wa kushoto,ningeacha 25 wa kulia
DEREVA:EHEEEE sasa nilipotaka kumgongayule mmoja wa kushoto,akakimbilia kwa wale 25,alidhani sijamuona nkamfuata huko huko.