photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> ECO Bank yazundua promosheni ya shinda Babkubwa na ECO Bank leo Jijini Dar..

ECO Bank yazundua promosheni ya shinda Babkubwa na ECO Bank leo Jijini Dar..

Posted on Jun 4, 2012 | No Comments

Mkurugunenzi maendeleo Ecobank katikati Bw;Samwel Ayim akiongea na waandishi wa habari leo makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa promosheni ya shinda Babkubwa na Ecobank  Bw;Samwel Ayim  amesema gari ambalo litashindaniwa ni aina ya Hyundai ix35 kushoto ni mkuu wa kitengo cha Huduma kwa wateja Bi Joyce Mlai, na kulia Head corporate Bw. Linley Kapya.
Waandishi wa habari wakiwa katika uzinduzi huo wakifuatilia kwa makini yaliojiri kwenye mkutano huo
Bw;Linley Kapya katikati akionyesha gari ambalo litashindaniwa katika promosheni hiyo

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru