photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Atoa Taarifa Ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani

Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Atoa Taarifa Ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani

Posted on Jun 4, 2012 | No Comments


 
Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Fatma Abdulhabib Fereji akitoa taarifa kwa Wanachi kupitia vyombo vya Habari mbalimbali kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani 05/06/2012 ambayo kwa Zanzibar kitaifa yatafanyika huko kisiwani Pemba.
 Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Fatma Abdulhabib Fereji akifafanua jambo wakati akitoa taarifa kwa Wanachi kupitia vyombo vya Habari mbalimbali kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani 05/06/2012 ambayo kwa Zanzibar kitaifa yatafanyika huko Kisiwani Pemba.
Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Fatma Abdulhabib Fereji akizungumza na Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani 05/06/2012 ambayo kwa Zanzibar kitaifa yatafanyika huko Kisiwani Pemba.Picha na Yussuf Simai,Maelezo-Zanzibar

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru