photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> JK REFA PAMBANO LA WABUNGE SIMBA, YANGA

JK REFA PAMBANO LA WABUNGE SIMBA, YANGA

Posted on Jun 24, 2012 | No Comments


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, anatarajiwa kuwa refa wa mchezo wa soka kati ya wabunge mashabiki wa Simba dhidi ya Yanga.

Mechi ya wabunge hao mashabiki wa Simba na Yanga, inatarajiwa kufanyika Julai 7, mwaka huu, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, ikiwa ni moja ya matukio yatakayopamba Tamasha la Usiku wa Tumaini.

Meneja Mkuu wa Global Publishers, wanaoandaa tamasha hilo, Abdallah Mrisho, alisema kuwa wameshamuandikia barua JK ya kumuomba awe mgeni rasmi, vilevile awe refa wa mechi

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru