photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > MICHUANO YA SHULE ZA SEKONDARI (UMISSETA) YASHIKA KASI MJINI KIBAHA

MICHUANO YA SHULE ZA SEKONDARI (UMISSETA) YASHIKA KASI MJINI KIBAHA

Posted on Jun 24, 2012 | No Comments


 Washangiliaji wa timu ya Nyanda za Juu wakishangilia wakati timu yao ilipokuwa dimbani ikimenyana na Kanda ya Kati katika mchezo wa Soka katika michuano ya shule za Sekondari UMISSETA zinazoendelea Mkoani Kibaha leo. Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1 
 Gori kipa (GK) wa Kaskazini Mashariki akiokoa hatari langoni mwa timu yake dhidi ya Zanzibar kwenye mojawapo ya mechi za michuano ya shule za sekondari (Umisseta) inayoendelea Kibaha mkoani Pwani. Kaskazini Mashariki ilishinda 20-13. 
 Kanda ya Dar es Salaam ikichuana na Magharibi katika mchezo wa Wavu ambapo Dar ces Salaam imeshinda kwa seti 3-0.
 Wachezaji wa ziwa Magharibi (kijani) wakichuana na wachezaji wa Mashariki katika mpira wa Kikapu uliofanyika leo. Mashariki wameshinda kwa pointi 99-27

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru