Msanii wa leo JUU YA MEZA
ni Rachel '(Rachel wa Kizungu Zungu)'
SHORT PROFILE: Ni Binti Mrembo wenye kujipenda aliyeona ulimwengu kuanzia mnamo:February 25,Mwaka:1992 ambaye kwasasa anaishi wilaya ya Kinondoni,jijini Dar Es Salaam,Mbali na kuishi Jijini kwa muda sasa Rachel ni Mzaliwa wa:Kigoma Huyu ni Mwanadada ambaye ana kipaji cha aina yake hasa katika kuimba/kuandika nyimbo,kipaji chake kimenolewa zaidi na T.H.T (TANZANIA HOUSE OF TALENT) Kapikwa akapikika kisha akaletwa katika uwazi wa Bongo Fleva na kufanya mgoma kadhaa zilipelekea raia kumfahamu kupitia mziki...
FURSA YAKO: Funguka chochote kinachokukera/
kinachokufurahisha kwake.
ONYO:Lugha ya Matusi hairuhusiwi Tafadhali.
KUMBUKA:kile utakacho weka hapa itakuwa ni njia ya kuweka mambo sawa wa siku.
Mziki wa Bongo ni Bonge moja la ajira kwa wasaniina watu wote waingizao kipato kupitia mziki kwa namna moja au nyingine hivyo mchango wako ni chachu katika kutengeneza njia ya mafanikio kwa wasanii wa bongo.
uwezekano: Ndugu mhuska kama atapatikana online basi atataarifiwa hili kuchangia kwa kile kitakacho kuwa kikimzunguzia.
story by Mziki Bongo.
|