MADAKTARI 11 WATIMULIWA DODOMA.
Posted on
Jun 27, 2012
|
No Comments
SASA LIMEKUWA.....Asubuhi hii Intern Drs 11 waliokuwa wamegoma wametimuliwa kazi katika Haospitali ya mkoa wa Dodoma...........Haya yanategemewa pia katika hospitali nyingine zote zilizogoma!source: Jamii forum.
My take:
-Moto hauzimwi kwa petrol, sasa ni vita rasmi kati ya serikali na madaktari
-Ikumbukwe kwamba chokochoko zote hizi zilianzia kwa Intern Drs, nahisi makubwa zaidi!
