Million 10 kufanya collabo na Diamond..
Posted on
Jun 1, 2012
|
No Comments
Hili limenishitua baada ya kumsikia Diamond ndani ya Clouds FM akisema anaanza kutoza fedha kwa kila atakae taka collabo(kumshirikisha) na yeye..
Si vibaya..
Lakini kiasi cha fedha alichokitaja kwa msanii asiejuana naye ni Tshs, 10million
mdau huyo ndiye Diamond tunaye amini ataufikisha mbali mziki huu!!..
Wewe unalipi la kuongea kuhusu hili, tusemezane!.
Wewe unalipi la kuongea kuhusu hili, tusemezane!.

