Kutoka kulia ni Colombani Mpogola mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kigamboni Eddah Sylvester (21) Miss Kigamboni City Angela Msangi na Somoe Ng'itu waratibu wa Miss Kigamboni wakiwa na msaada wa rangi walioutoa shuleni hapo
Mmoja wa waratibu wa Miss Kigamboni City Somoe Ng'itu akikabidhi msaada wa rangi kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kigamboni Colombani Mpogola, wa pili kutoka kulia ni Miss Kigamboni City Eddah Sylvester na wa tatu ni Angela Msangi mratibu Miss Kigamboni.