NDOA NDOANO..
Posted on
Jun 13, 2012
|
No Comments
Zima taa!...mwenzio naona aibu!
Hi! Wanajf....mimi ni mwanaume namiaka 26, nimeshangazwa sana na tabia ya mpenzi wangu wa sasa. Eti yeye anadai huwa hapendi kungonoana mchana afu usiku anataka tuzime taa....jamani naitaji msaada wa haraka wadau, maana raha ya sita kwa sita ni mwanga, kuujua mwili wa mpenzi wako na kuutomasa huku ukimwangalia direct machoni...plz help me..Tuandikie nasi tutashirikiana na wanajamii, rchugga@gmail.com
