Mida hii wakati Mh. Ngeleja akichangia bajeti, ameishambulia bajeti mbadala ya Chadema na kuwa sahambulia Chadema kuwa ni waongo na wanawapotosha wananchi, kaongea kwa hisia kali na hasira akiwaita Chadema kuwa hawawezi kuwa seikali mbadala na kuwaambia kuwa ni rahisi kuandaa bajeti ya harusi na si bajeti ya nchi!

Mjadala bado unaendelea na miongozo ya Mh. Mbowe, Mdee na Tundu Lissu!