photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > TANGAZO KWA WANAFUNZI WALIOHITIMU VYUO VYA AFYA MACHI , 2012

TANGAZO KWA WANAFUNZI WALIOHITIMU VYUO VYA AFYA MACHI , 2012

Posted on Jun 21, 2012 | No Comments


Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda kuwajulisha  wanafunzi wote waliohitimu  vyuo vya afya nchini mwezi Machi 2012, kufika Wizarani ili waweze kuchukua barua za kupangiwa vituo vya kazi kabla ya tarehe 30 June,2012.
Pia waombaji wengine waangalie majina yao kwenye website ya Wizara www.moh.go.tz

Imetolewa na:

Regina L. Kikuli
Kaimu Katibu Mkuu
21/06/2012

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru