photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> NSAJIGWA afanya mazungumzo na GORIMAHIA ya kenya..

NSAJIGWA afanya mazungumzo na GORIMAHIA ya kenya..

Posted on Jun 8, 2012 | No Comments

SHEDRAk NSAJIGWA baada ya kutemwa na YANGA ametua nchini kenya kufanya mazungumzo no klabu ya GORIMAHIA ya nchini humo..
Taarifa zinesema shedrak amekutana na viongozi wa klabu hyo na mazungumzo yanaenda vizuri.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru