photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> Timu ya Gambia yafanya mazoezi katika uwanja wa Karume..

Timu ya Gambia yafanya mazoezi katika uwanja wa Karume..

Posted on Jun 8, 2012 | No Comments

Timu ya Gambia ikiwa mazoezini katika uwanja wa karume jijini dar es salaam jioni hii kwa ajili ya mechi ya Timu ya Taifa Star katika uwanja wa Taifa jumapili  jijini dar es salaam.
Wachezaji wa timu hiyo wakijifua kwa kuchezea mpira wa pasi fupifupi kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es salaam leo jioni.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru