Rais wa TFF Tenga awapongeza Taifa Stars..
Posted on
Jun 12, 2012
|
No Comments
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Tenga (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari mchana ofisi za TFF, Uwanja wa Karume, Ilala, Dar es Salaam. Tenga amewapongeza Taifa Stars kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Gambia 'Nge' Jumapili, Uwanja wa Taifa, kuwania tiketi ya kucheza Kombe la Dunia 2014. Pia ameomba sapoti zaidi kwa timu hiyo. Kulia ni Sadi Kawemba na kushoto ni Katibu Mkuu, Angetile Osiah. . Habari inakuja.
Picha na www.bongostaz.blogspot.com

