photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > Bunge la bajeti kuanza leo; kuna jipya au kupandishwa tena kwa kodi?

Bunge la bajeti kuanza leo; kuna jipya au kupandishwa tena kwa kodi?

Posted on Jun 12, 2012 | No Comments

Leo Bunge la Bajeti kwa mwaka 2012/2013 linaanza mjini Dodoma.

Tutarajie nini kipya? Kodi kupanda za Vinywaji kama kawaida yao taifa linaloendeshwa kwa kodi za Pombe na starehe!

Mishahara kupanda kwa sh. 6,500/=! Madini kuendelea kusamehewa kodi!

Wafanyakazi kuendelea kutolipwa malimbikizo ya fedha zao!

Kuongezeka kwa gharama za uendeshaji na kupunguza fedha za maendeleo.

Nini kipya ambacho hakijulikani?

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru