photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA VIKAO VYA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR.

TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA VIKAO VYA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR.

Posted on Jun 26, 2012 | No Comments

 Waziri wa Nchi na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Mwinyihaji Makame akiwa pamoja na Waziri wa Katiba na sheria wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ndani ya Baraza la Wawakilishi huko Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.
  Katibu wa Ofisi ya Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga akibadilishana mawazo na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.
 
Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Salmin Awadh Salmin kushoto akibadilishana Mawazo na Mwakilishi wa Kuteuliwa Asha Bakari nje ya Ukumbi Baraza la Wawakilishi huko Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.Picha na Yussuf Simai,Maelezo-Zanzibar

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru