photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> Warembo wa Redds Miss World Tanzania 2012 waingia Kambini

Warembo wa Redds Miss World Tanzania 2012 waingia Kambini

Posted on Jun 13, 2012 | No Comments



Washiriki wa shindano la Redds Miss World Tanzania 2012 wakiwa kwenye kambi yao iliyopo kwenye Hotel ya Kitalii ya Giraffe jijini Dar Es Salaam tayari kwa shindano lao la jumamosi hii kumpata mwakilishi wa Taifa.

 Warembo wakifurahia kuingia kambini
Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania, Albert  Makoye (kulia) na Miss Tanzania 2011, Salha Israel wakiwakaribisha warembo hao kambini hii leo.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru