photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI VIJANA NA MICHEZO DKT. FENELLA MUKANGARA ANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI..

WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI VIJANA NA MICHEZO DKT. FENELLA MUKANGARA ANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI..

Posted on Jun 29, 2012 | No Comments

 Waziri wa Habari Utamaduni Vijana na Michezo Dkt. Finella Mukangara,

 Waziri wa Habari Utamaduni Vijana na Michezo Dkt. Finella Mukangara,amenusurika kifo katika ajali ya gari iliyotokea leo Igunga mkoani Tabora wakati akiwa safarini kuelekea Mwanza akitokea Dodoma.

Gari la Waziri Dk. Mukangara linadaiwa kupinduka wakati dereva wake akijaribu kulipita roli la mizigo na kutaka kugongana uso kwa uso na basi la Green Sta lililokuwa likitokea Mwanza.

Waziri, Msaidizi wake na dereva walipata majeraha na kutibiwa katika Hospitali ya Nzega Mkoani Tabora.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru