photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> YANGA WAKIJIFUA UFUKWENI JANA ASUBUHI

YANGA WAKIJIFUA UFUKWENI JANA ASUBUHI

Posted on Jun 24, 2012 | No Comments

 Kifaa kipya cha Yanga, Kelvi Yondani
Mshambuliaji mpya wa Yanga, Simon Msuva (mbele) akiwaongoza wenzake katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika kwenye fukwe za Coco jijini Dar es Salaam jana. Wanaomfuatia ni beki mpya wa klabu hiyo,  Kelvin Yondani na Godfrey Taita. (Picha zote na Mpiga 
 Nurdin Bakari akijifua.
Baadhi ya wachezaji wa Yanga wakiwa katika mazoezi.
 Nizar Khalfan akiwa katika mazoezi na timu yake mpya ya Yanga katika ufukwe wa Coco Oysterbay jijini Dar es salaam.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru