BARABARA ZA ARUSHA KATIKA UJENZI.
Posted on
Jul 6, 2012
|
No Comments
Jana jioni askari wa usalama barabarani kwa kushirikiana na raha promotion walipita mitaa ya mji kutangazia watu wasitumie hizi barabara ambazo bado ziko katika ujenzi ila inaonekana watu bado ni wabishi.....embu pata hizi picha za muda huu kituko kilichotokea hapa maeneo ya saint thomas hospital..,


