JAJI MKUU AWATUNUKU MAWAKILI WAPYA WA SERIKALI
Posted on
Jul 6, 2012
|
No Comments
| Waziri wa Katiba na Sheria Mathias Chikawe akitunukiwa Uwakili na Jaji Mkuu Othman Chande katika hafla ya kuwatunuku uwakili wanasheria wa serikali iliyofanyika leo jijini Dar es salaam |
| Majaji wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watunukiwa akiwemo Waziri wa Katiba na Sheria Mathias Chikawe (Wa nne kushoto mstari wa nyuma) |
| Jaji Mkuu Othman Chande akiwa na watunukiwa wa Uwakili |
