photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > HOTUBA YA MHE. DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE MWEZI JUNI, 2012

HOTUBA YA MHE. DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE MWEZI JUNI, 2012

Posted on Jul 1, 2012 | No Comments

 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
HOTUBA YA MHE. DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE,
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,
KWA WANANCHI, TAREHE 30 JUNI, 2012

          Kama ilivyo ada naomba nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehma, kwa kutujaalia uzima na kutuwezesha kumaliza nusu ya kwanza ya mwaka 2012 salama.  Kwa kutumia utaratibu wetu wa kuzungumza nanyi kila mwisho wa mwezi, leo napenda kuzungumzia mambo mawili. Jambo la kwanza ni suala la usafirishaji haramu wa binadamu nchini na la pili ni la mgomo wa madaktari. …

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru