photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> KUTOKA VIWANJA VYA SABASABA..

KUTOKA VIWANJA VYA SABASABA..

Posted on Jul 5, 2012 | No Comments

MZEE RUKHSA ATEMBELEA MAONESHO YA SABA SABA.

Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Tanzania Ally Hassan Mwinyi(katikati) akiongozwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Abdallah Kigoda kutembelea mabanda mbalimbali leo jijini Dar es salaam katika maonyesho ya 36 ya Kimataifa ya Dar es salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Tanzania Ally Hassan Mwinyi(katikati) akitoa maoni yake jana leo jijini Dar es salaam baada ya kiongozi huyo mstaafu kutembelea bustani ya mfano ya MAGEREZA  katika maonyesho ya 36 ya Kimataifa ya Dar es salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Tanzania Ally Hassan Mwinyi (kulia) akiangalia mahindi yaliyopandwa kitaalamu leo jijini Dar es salaam baada ya kiongozi huyo mstaafu kutembelea bustani ya mfano ya MAGEREZA  katika maonyesho ya 36 ya Kimataifa ya Dar es salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere. 
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Tanzania Ally Hassan Mwinyi akitoa maoni yake leo jijini Dar es salaam baada ya kiongozi huyo mstaafu kutembelea banda la MAGEREZA  kuona thamani za majumbani wakati alipotembelea maonyesho ya 36 ya Kimataifa ya Dar es salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere. 
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Tanzania Ally Hassan Mwinyi akitopata maelezo juu ya miradi mbalimbali inayosimamiwa na Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) jijini Dar es salaam baada ya kiongozi huyo mstaafu alipotembelea maonyesho ya 36 ya Kimataifa ya Dar es salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere. 
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Tanzania Ally Hassan Mwinyi akisalimiana na Meneja Mauzo wa TANCOAL  leo jijini Dar es salaam baada ya kiongozi huyo mstaafu kutembelea banda la Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC). Kiongozi huyo mstaafu alikuwa katika  maonyesho ya 36 ya Kimataifa ya Dar es salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere. (Picha na Tiganya Vincent-Maelezo-Dar es Salaam).

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru