photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> KUTOKA VYUONI..

KUTOKA VYUONI..

Posted on Jul 5, 2012 | No Comments

VIONGOZI WA JUMUIYA ZA ELIMU YA JUU WAMTEMBELEA RAIS KIKWETE IKULU

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Umoja wa  wanafunzi wa  vyuo vya elimu ya juu  nchini (TAHLISO) walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam siku ya Jumatano Julai 4, 2012. Viongozi hawa walikuwa wakihudhuria kongamano la mabadiliko ya katiba lililokuwa linafanyika katika ukumbi wa Karimjee
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea  na viongozi wa Umoja wa wanafunzi wa  vyuo vya elimu ya juu  nchini

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru