photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > MABONDIA FRANCIS CHEKA NA JAPHET KASEBA WAPIMA UZITO KWA PAMBANO LA KESHO

MABONDIA FRANCIS CHEKA NA JAPHET KASEBA WAPIMA UZITO KWA PAMBANO LA KESHO

Posted on Jul 6, 2012 | No Comments

Bondia Japhet Kaseba akipima uzito.
Francis Cheka nae akipima uzito wake.
Cheka akipimwa mapigo yake ya moyo.
Kaseba nae akipimwa.

Mabondia Francis Cheka na Japhet Kaseba leo wamepima uzito wao tayari kwa mpambano wa kesho katika Tamasha la Matumaini litakalofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabondia hao wamepima uzito wao katika hoteli ya The Atrium iliyopo Sinza, Afrika Sana jijini Dar es Salaam ambapo kila mmoja amemtambia mwenzake kuwa ataibuka kidedea katika pambano hilo

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru