MATUKIO YA EPIQ BONGO STAR SEARCH NDANI YA ARUSHA..
Posted on
Jul 8, 2012
|
No Comments
| Kabla ya kutoa jibu kuna haja ya kujadiliana kidogo, hapa Majaji wakijadiliana.. |
| Caroline Edwards akijiandaa kuonesha alichonacho |
| Amina S Mariam, yeye alikuja na mwanawe kwenye ushiriki, hapa akiwa mbele ya majaji |
| Zoezi la uchangiaji damu liliendelea kama kawaida... |
| Wadada wa kwa nza kufika kwenye usaili ndani ya himaya ya Tripple A Arusha kutoka shoto ni Gladys Massawe, Pracidia Charles na Happiness Msangi |
| Makekeee, kama kawa kabla ya kuingia uwanjani |
| Washiriki wakisikiliza kwa umakini maelekezo kutoka kwa waandaaji |
| Caesar daniel akihoji washiriki kuhusiana na suala zima la kujiamini na kwa nini wameamua kujitokeza |
