RAIS KIKWETE AONGOZA BARAZA LA MAWAZIRI DODOMA LEO
Posted on
Jul 5, 2012
|
No Comments

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea jambo na baadhi ya mawaziri na viongozi waandamizi serikalini baada ya kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri leo July 5, 2012 katika ukumbi wa TAMISEMI Dodoma

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri leo July 5, 2012 katika ukumbi wa TAMISEMI Dodoma.
source:Full shangwe
