photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> TANGAZO..

TANGAZO..

Posted on Jul 5, 2012 | No Comments

Tours visual promotion chini ya upendo Simwita na Angel Justace wameandaa car wash charity kwa ajili ya kuchangia kituo cha Watoto Yatima cha Good Hope kilichopo USA River, Jijini Arusha.
Shuhuli hiyo itafanyika Julai 14 ndani ya Matongee Canivari kuanzia saa 4 asubuhi mpaka majogoo, Muingizaji marufuu wa Bongo movie, Wema Sepetu ndiye anatarajiwa kuwa mgeni rasmi akiandamana na meneja wake Martin Kadinda. Wengine waliokubali kushiriki tendo hilo ni pamoja na baadhi ya warembo waliowai kutikisa shindano la miss Tanzania miaka ya nyuma.
Ambapo wote kwa pamoja watashiriki kuosha magari ya watu mbali mbali watakayohudhuria halfa hiyo
Kwa taarifa zaidi wasiliana na waratibu wahalfa hiyo.
Angel Justine 0753 195830
Upendo Simwita 0755 975454

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru