photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > TASWA ARUSHA WAPATA UDHAMINI..

TASWA ARUSHA WAPATA UDHAMINI..

Posted on Jul 3, 2012 | No Comments

Meneja mauzo na masoko wa kampuni ya Megatrade, Gudluck Kway, akimkabidhi Katibu wa TASWA Arusha , Mussa juma, hundi ya sh 1.5 milioni, kama udhamini wa Kampuni hiyo katika bonanza la waandishi wa habari Kanda ya Kaskazini, ambalo litafanyika julai 15 mwaka huu, makabidhiano hayo, yalifanyika palace Hoteli mjini Arusha.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru