photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > VIGINIA ASINDA MISS REDDS VYUO VIKUU 2012.

VIGINIA ASINDA MISS REDDS VYUO VIKUU 2012.

Posted on Jul 6, 2012 | No Comments

MSOMI wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Viginia Mokiri usiku huu ameibuka Miss Vyuo Vya Elimu ya Juu katika shindano lililofanyika kwenye ukumbi wa Club Maisha, Dar es Salaam. Katika shindano hilo, ambalo majaji wake walikuwa ni Kamati ya Miss Tanzania, Fatuma Ramadhani wa Chuo cha Uandishi wa Habari Arusha (ASJ), alishika nafasi ya pili na Fina Recatus wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) alikuwa wa tatu.
Aidha, Jane Maluli alikuwa wa  IFM nne na Helda Edward wa Ustawi wa Jamii alikuwa wa tano. Pichani ni Viginia katikati, kushoto mshindi wake wa pili Fatuma na kulia mshindi wa tatu Fina. 

Renatha Richard katika vazi la ufukweni
Theresia Isaya
Migeshi Boniface
Fatuma Ramadhani vaizi la zufukweni
source: Ujana Tz.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru